Written by Mariama Ba and translated from the French by Modupe Bode-Thomas, So Long a Letter won the first Noma Award for Publishing in Africa, and was recognised as one of Africa's 100 Best Books of the 20th Century in an initiative organised by the Zimbabwe International...
Ramatoulaye, mwanamke Msenegali ameolewa na Mody, mtu mzito serikalini. Baada ya miaka mingi ya ndoa Modu anaoa mke mwingine, msichana mdogo mwenye umri sawa na wa binti yake. Ramatolaye anasahauliwa; pesa na mapenzi vinahamia kwa mke mdogo. Modu anakufa katika ajali ya gari...
This first novel paints a portrait of a Muslim woman who, with courage and dignity, refuses to accept a polygamous life.